Saturday, February 13, 2010

Enzi hizi za mishumaa,palikua hapakaliki

Huu mshumaa ulikua moto wa kuotea mbali,bahati mbaya kundi hili la Living in the Box lilivunjika mwaka 1990 na kibaya zaidi,walikua na hii singo tu ambayo ilisumbua top 20 duniani

No comments: