Friday, October 25, 2024

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI KILICHOFANYIKA IKULU NDOGO YA TUNGUU ZANZIBAR.





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2024. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2024. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 25 Oktoba, 2024.


No comments: