Saturday, February 13, 2010

Kombe la mbuzi,Chelsea 4 - 1 Cardiff

wachezaji wa Chelsea wakimpongeza Drogba baada ya kupachika mpira kimiani katika mechi za FA leo,magoli mengine ya Chelsea yamefungwa na Michael Ballack,Daniel Strurridge na Solomon Kalou na lile la kufutia machozi Cardiff limefungwa na Michael Chopra

No comments: