Saturday, February 13, 2010

Lady Jay Dee kuzawadia kidani

Nyota wa muziki wa kiafrika kutoka Tanzania, mwenye mapenzi ya kutoka moyoni na nchi yake, Jide The Empress ambaye wengi mnamfahamu kwa jina la Lady Jaydee, anatarajia kumzawadia shabiki wake wa kike, atakayependeza kuliko wenzake kidani chenye thamani ya shilingi za kitanzania laki saba leo katika ukumbi wa Thai Village.

No comments: