Thursday, February 11, 2010

Madega: Ishangilieni Yanga iwape raha, Lupopo kutua leo Dar

MWENYEKITI wa Yanga, Imani Madega amewataka wanachama na mashabiki wa soka nchini wakiwemo wale wa Simba kujitokeza kwa wingi kuwapa nguvu katika mchezo wao wa kwanza wa raundi ya awali dhidi ya Saint Eloi Lupopo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DR Congo), Jumamosi

No comments: