Katibu wa Sekretarieti ya Wanazuoni, Sherally Huseein (kulia) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)kukataa kuomba radhi kwa Waislamu kufuatia udhalilishaji wa kumvua hijabu Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Mkoani Tabora, Fatma Kimario hivi karibuni. (Picha na Mwanakombo Jumaa- Maelezo) |
No comments:
Post a Comment