Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwapokea wageni mtoto wa Malikia wa Uingereza Prince Charles na Mkewe Camilla Ikulu Leo,hapa Mama Salma Kikwete anasalimiana na Prince Charles.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mgeni wake mtoto wa Malikia wa Uingereza Prince Charles Ikulu leo.
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipiga picha ya pamoja na Mtoto wa Malikia wa Uingereza,Prince Charles na Mkwewe Ikulu leo.
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao,Mtoto wa Malikia wa Uingereza Prince Charles ambae ameambatana na mkewe kwa ziara ya siku tatu Nchini kwetu Tanzania.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake mtoto wa Malikia wa Uingereza,Prince Charles Ikulu Leo.
Mama Salma Kikwete akiwa na mgeni wake mke wa mtoto wa Malikia wa Uingereza,Camilla .
Picha na Ikulu
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment