Laura Bush katika akihutubia katika sherehe hizo. Sherehe hizo za maadhimisho ya Malaria No more katika inchi za Africa na Tanzania ikiwa moja ya inchi hizo, sherehe hizo zilifanyika Hapa New York City, IAG Building lililoko 555 west 18 st Manhattan New york City, katika sherehe hizo za kutimiza miaka 5 ziliuzuliwa na watu mashuuri.
Kundi la THT wakitoa Burudani kwenye maadhimisho ya miaka 5 ya MALARIA NO MORE yaliyofanyika New York City jana Jumapili,Nov 6,2011
Kikundi cha THT wakipata picha ya pamoja na wadau New York Cty.
Ebra Nyagaly(kulia) akipata Ukodak Moment na Dikembe Mutombo mcheza kikapu NBA kushoto ni Fareed Kubanda
Ebra akipata Ukodaka na Simon mwanzilishi wa American Idol
Ebra NY akipata Ukodak na Ruge Mtahaba
Picha kwa hisani ya NY Ebra
No comments:
Post a Comment