Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Upendo Nkone akiimba moja ya nyimbo zake kwenye misa ya kiswahili iliyofanyika Columbus Ohio,Nchini Marekani Jumapili ya November 6,2011.
Upendo Nkone na Upendo Kilahiro |
Ni muzuka wa nyimbo za Injili unaoendelea hapo na Upendo Kilahiro
Kutoka ni Pastor Nnunu Nkone,Upendo Nkone pamoja na kikundi cha kwaya nyimbo za Injili la kanisa hilo la Kiswahili,Columbus,Ohio,hapa wakiimba pamoja moja ya wimbo wa Injili.
Upendo Kilahiro akipata picha na mmoja ya shabiki wa nyimbo zake .
Kutoka shoto ni Pastor Donis Nkone,Upendo Nkone,Rhobi Mukami na Peter Kirigiti
Pastor Donis Nkone na dada yake Upendo Nkone |
Pastor Nunu pamoja na Upendo Nkone na Upendo Kilahiro |
Mzuka wa nyimbo wa Injili kama unavyoonekana hapa na waumini waliofika kwenye misa hiyo Columbus,Ohio Nchini Marekani.
Waumini Columbus,Ohio,Nchini Marekani,wakipata neno kwa nyimbo za Injili zilizoimbwa na Upendo Nkone akishirikiana na Upendo Kilahiro kwenye misa ya kiswahili iliyofanyika Jumapili ya November 6,2011 mjini hapo.
1 comment:
seriously hawa wadada wamenibariki sana na nyimbo zao. najiona mwepesiii
Post a Comment