ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 19, 2012

DR. HARRISON MWAKYEMBE ARIPOTI OFISINI NA KUZUNGUMUZA NA WAANDISHI WA HABARI

 
Dr Mwakyembe akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari mbalimbali leo ofisini kwake . 
Nauibu Waziri wa Ujenzi Dr Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam ofisini kwake kuhusiana na maendeleo ya Afya yake nakusema kwamba yeye sasa yuko fiti kiafya, na ameripoti ofisini rasmi leo hii alipoulizwa maswali kutoka kwa waandishi wa habari akasema mambo yote anaichia serikali kupitia tume maalumu iliyoundwa kufutilia suala la ugonjwa wake. (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)

No comments: