Advertisements

Wednesday, August 29, 2012

HURRICANE ISAAC POUNDS GULF COAST


Kimbunga kilivyo waacha watu bila makazi huko New  Orleans, kipunga hicho kinachojulikana kwa jina la Isaac kimewaacha mamia ya watu kuwa homeless kwa kuto kuwa na makazi kutokana na nyumba zao kuzolewa na watu wengine kupoteza maisha. Kipunga hicho kimetokea uku wakati mkutano mkubwa wa vyama vya upinzani vikipambana uko Florida.

No comments: