Emmy na Carl kwenye harusi yao iliyofanyika Ijumaa Sept 7, 2012 Silver Spring, Maryland kwenye mgahawa uitwao mama K's, Bibi Harusi ni Mkenya na Bwana Harusi ni Mmarekani.
e
Picha juu na chini ni Emmy na Carl wakifungua muziki
Harusi ya Emmy na Carl ilifanyikia Nje kwenye Bustani ya mgahawa huo na kuhudhuriwa na Ndugu, jamaa na marafiki.
Emmy na Carl katika picha ya pamoja baada ya kufunga ndoa.
Emmy na Carl wakipata picha na wapambe wao.
Geradine Ngowi akiwa na mpambe aliyemsindikiza.
Wapambe wakiwa kwenye meza kushoto ni Pastor na kati ni Carol rafiki wa karibu wa Bi harusi
Wageni waalikwa wakiendelea na chakula.
Wageni waliofika kwenye harusi ya Emmy na Carl wakipata kianzia chakula .
kwa picha zaidi bofya read more
1 comment:
Harusi ya Emmy na Karl - Bomba. These are so lovely- wish had been there. Hongera
Post a Comment