Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (wa pili kutoka kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Fanuel Mbonde (wa tatu kutoka kulia) wakikagua sehemu ya magari madogo yaliyokabidhiwa na Wizara ya Katiba na Sheria kwa ajili ya kusindikiza msafara wa mabasi yanayosafirisha Mahabusu kutoka Gerezani kwenda Mahakamani na kurudi Gerezani
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakilna Katibu
Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Fanuel Mbonde wakiwa katika picha ya
pamoja muda mfupi baada ya kukagua sehemu ya magari madogo
yaliyokabidhiwa na Wizara
ya Katiba na Sheria kwa ajili ya kusindikiza msafara wa mabasi
yanayosafirisha
Mahabusu kutoka Gerezani kwenda Mahakamani na kurudi Gerezani
IMEANDALIWA NA
KITENGO CHA MAWASILIANO
SERIKALINI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
No comments:
Post a Comment