ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 8, 2012

MCHONGO WA KAZI INDIANA, USA

Jina langu ni Stephen Mndalila ninaishi Indiana, Nchini Marekani, Kuna tenda za kazi za kufasiri ninaomba kama kuna mtu yeyote ambaye ni mtaalamu wa lugha ya kiswahili to kiingereza na verseveser na zaidi kama atakuwa anazijua lugha zingine za kimataifa tafadhali  Wasiliana kwa email yangu smndalila@hotmail.com na ninapatikana kwenye facebook Asante

2 comments:

Anonymous said...

dj luke is this true, mimi hapa nipo tayari any time nipo NY natafuta kazi tena ni mtaala kwa lunga hizo please nijibu please

Anonymous said...

dj luke niunganishiye basi na mshikaji iam the right candidates muulize anahitaji nini, nina uraia wa nchi hii je qualification gani anahitaji na niko tayari kulihama jiji Nilipo niende nikatafute kazi katika jiji hili la indiana