ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 13, 2012

Dereva Amgonga mwanamke Arushaataka kukimbia lakini wananchi wazuia njia na kutaka kumuua. Polisi wamuokoa Shuhudia!



 Hili ndilo Gari ambalo limemgonga Mwanamke na hapa alikuwa anafanya zoezi la kukimbia lakini mwananchi wakazuia njia kumziba mbele.
 Huyu ndiye Dereva aliye sababisha ajali 
 Wananchi wakiwa wanashangaa Dereva, amabaye amesababisha ajali 

Picha kwa hisani ya blog za mikoa

No comments: