Baadhi ya wanajumuiya wakishindikiza Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Dada Clarrise Maya Niyonkuru, kwa ajili ya kusaliwa baada ya sala ya Ijumaa katika, msikiti wa (MCC) uliopo Silver Spring Maryland Nchini Marekani.
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Dada Clarrise Maya likishindikizwa kwa ajili ya kusaliwa
Baadhi ya waumini wakiwa tayari kwa ajili ya kusala sala ya maiti iliyosaliwa njee ya msikiti wa (MCC) uliopo Silver Spring Maryland Nchini Marekani
Msafara wa magari ya mazishi ya Marehemu Dada Clarrise Maya, yakiongozana katika barabara ya New Hampshire Ave Siku ya Ijumaa Oct 12, 2012
Jeneza likielekezwa katika makaburi ya Makaburi ya FT Lincoln Cemetary yaliopo barabara ya Bladensburg Brentwood Maryland Nchini Marekani.
Marehemu alipozikwa siku ya Ijumaa Oct 12,2012 Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
Watanzania, ndugu, jamaa na marafiki waliojitokeza kwenye maziko ya mpendwaa wetu, wakifukia kaburi.
Hii ndio nyumba ya milele ya mpendwa wetu Clarrise Maya Niyonkuru
Watanzania DMV ndugu, Jamaa na marafiki waliojitokeza kumsindikiza mpendwa wetu wenye safari yake ya mwisho wakiomba Duwaa na kupata maneno mawili matatu.
(picha kwa hisani ya Swahili Villa)
No comments:
Post a Comment