ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 22, 2012

HALI YA MTOTO ANETH ALIYEKATWA MKONO BAADA YA KUCHOMWA MOTO YAZIDI KUIMARIKA

Mtoto Aneth Johannes akiwa katika hospitali ya mkoa jijini Mbeya anapoendelea kupatiwa matibabu.
Mama mzazi wa Aneth, Asera Mukandala anayeishi Muleba mkoani Kagera akiwa wodini ambapo anamuuguza mwanaye.
Asera Mukandala akimuuguza mwanaye Aneth. Kushoto ni mdau aliyefika hospitalini hapo kutoa msaada wake kwa mtoto Aneth. 
(Picha na MBEYA YETU BLOG)

HALI ya mtoto Aneth Johannes aliyekatwa mkono wake wa kushoto baada ya kuchomwa moto, kufungiwa ndani na kulazimishwa kula kinyesi chake na mke wa mjomba wake, Wilvina Mukandala, inaendelea vizuri katika hospitali ya mkoa jijini Mbeya.

KWA YEYOTE MWENYE MAPENZI MEMA, ANAWEZA KUTOA MSAADA WAKE KWA MTOTO ANETH KUPITIA NAMBA YA SIMU YA MKONONI YA MAMA YAKE, ASERA MUKANDALA 0756-293784

1 comment:

Anonymous said...

Wapendwa, watanzania wenzangu tumchangie huyu mtoto. Hata kidogo ulichonacho itasaidia sana.