Tuesday, March 12, 2013

Wadau wa habari watoa tamko kufuatia kuzorota kwa mazingira ya usalama wa waandishi wa habari


Wadau wa habari nchini wametoa tamko kufuatia kuzorota kwa mazingira ya usalama ya waandishi wa habari na wanaharakati wengine nchini.

1 comment:

ulotu said...

Nadhani watu wako free kujadili hali ya elimu nchini.Lakini ni vizuri kukiri kwamba ili kuelewa kiini cha tatizo lolote ni lazima kutafiti kitaalamu hii ina kuhusisha stakeholders katika ngazi zote, especially wanafunzi,waalimu, wazazi,fund provider both private and public n.k Utafiti wa aina hii ikifanyika vizuri utatawawezesha wanaopenda kuchangia mawazo au kifedha kuelewa current facts kuhusu matatizo then kujadili effective and feasible ways ya kusaidia.

ulotu