ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 23, 2013

WALINZI WAKIWA KAZINI

Walinzi wa Chadema wakiwa wameninginia kwenye gari la Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe wakati wakielekea kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika katika Uwanja wa Wajenzi, mjini Dodoma, Jumamosi iliyopita. Picha na Edwin Mjwahuzi

1 comment:

Anonymous said...

ndiyo maana kila kiongozi Africa anataka kuwa Rais wa nchi bila sera zozote za maendeleo huyu jamaa haitaji walinzi wa kuning'inia kwenye gari kama hivyo wakati vioo viko wazi doesn't make sense walinzi huwa n wananing'inia kwenye magari mengine siyo alilopanda kiongozi (mnatafuta ukubwa wanguvu)hakuna mtu hata anayemjari