Biryani
Naitwa Salma napika vyakula mbalimbali vya Kitanzania zaidi ya hivyo unavyoona kwenye picha kwa bei nafuu naishi mji wa Newton kwa mahitaji ya chakula cha nyumbani au sherehe nafadhali wasiliana nami 617 965 0629
Sambusa
Samaki
Ugali
Chapati
1 comment:
hatuna tena haja ya kwenda bongo kuvila vyakula hivi wapishi tuona hapa hapa marekani mashallah watanzania si mchezo mashallah hongera sana salma nitakuja kuweka order na kuchukua take away
mdau NY
Post a Comment