Tanzania imepoteza mchezo wa leo zidi ya wenyeji Morocco kwa kulala 2 -1 Tanzania walicheza pungufu baada ya mchezaji wake kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuangushana na mchezaji wa Morocco akiwa ndani ya 18. Licha ya mchezaji huyo kuwa ameotea akiwa na wenzio wa 2 ndani ya 18. Na refa wa mchezo huo alitoa penati iliyowafanya wenyeji kuongoza kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili ilianza na wenyeji walipata bao la 2 na Tanzania walipata 1 lilifungwa na Amri Kiemba akiwa nnje ya 18 na kumwacha golikipa wa Morocco asijue la kufanya. Licha ya kupoteza mchezo Tanzania bado matumaini yapo ya kucheza kombe la dunia kwani tupo nafasi ya 2 na point 6 juu ya Ivory Coast wenye point 10 baada ya leo nao kushinda 3 kwa 1 zidi ya Gambia. Na Morocco wako na point 5 licha ya kuifunga Tanzania.
MOROCCO
J. Kaseja
E. Nyoni
A. Morris
K. Yondani
S. Kapombe
M. Ngassa
A. Kiemba
S. Abubakar
M. Samata
T. Ulimwengu
F. Domayo
Coach: K. Poulsen
|
N. Lamyaghri A. Kantari I. El Adoua Y. Jebbour Z. Bergdich M. Obbadi K. Chafni A. Hermach A. Barrada Y. El-Arabi A. Hamdallah Coach: R. Taoussi |
2 - 1
TANZANIA
GOALS
A. Hamdallah (PG) 39'
1 - 0
Y. El-Arabi 51'
2 - 0
2 - 1
61' A. Kiemba
LINEUPS
No comments:
Post a Comment