Wednesday, June 12, 2013

Mama mmoja alala kwenye paa la nyumba ili isiuzwe

Mama mmoja anayejulikana kwa jina la Azelina Mrema mkazi wa Mbezi tangi bovu jijini Dar es salaam analala na kushinda juu ya paa la nyumba yake kwa siku ya tano sasa akipinga kuondolewa kwa nguvu kwenye nyumba yake bila kufuata taratibu na madalali wa benki

1 comment:

Anonymous said...

Hivi nalia machozi nataka kupiga hadi ukunga!! Jamani mama hajala, hajaoga wala hata kunjwa maji kwa siku tano!!!! Kweeli hii ni haki ama? kwahiyo hapa cha muhimu ni nyumba na sio utu wa mama huyu? Hatakama anadaiwa asizalilishwe kiasi kikubwa namna hivyo si vyema kabisa. Chadema mnao sema nyie ni "power to the people" sasa onyesheni power mumlipie mama huyu deni arudi ndani mwake, sio kutupigia makelele power to the people halafu people wenyewe hamuwasaidiiii. Pole mama Mungu atakutia nguvu.