Wednesday, June 12, 2013

Rasimu ya katiba Chadema waitisha kikao cha dharura


Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema kimeitisha kikao cha dharura cha kamati kuu kujadili na kutoa msimamo wa rasimu ya katiba mpya na kuwataka Watanzania kutokua na haraka kuendelea kuichambua rasimu kwa makini ili kuiboresha.

No comments: