Thursday, July 18, 2013

CHIKWASO WAACHIA KICHUPA CHA 'AMESHAFIKA'


kwa niaba ya timu nzima ya Chikwaso Familia napenda kutanguliza shukrani zetu za dhati na nachukua fursa hii kutambulisha kichupa kipya kabisa cha wimbo 'Ameshafika' unaopatikana katika CHIKWASO MIXTAPE VOL.1

Video hii imetengenezwa pande za Iringa chini ya mtayarishaji Dennis Njonanje wa Niabros Company Ltd. Graphics zimefanywa na jamaa anaitwa John Kilombele.

No comments: