Thursday, July 18, 2013

Mahojiano ya Edward Lowassa na Sunday Shomari.

Katika Mahojiano yetu na waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Edward Lowassa pamoja na mambo mengine amebainisha msimamo wake katika mabadiliko ya katiba kuhusu mfumo wa serikali(mbili au tatu), nini dawa ya rushwa na ufisadi nchini Tanzania,hali ya afya yake,kuhusu mabomu ya Arusha na Je atawania urais 2015?Karibu ujiunge nasi kaa standby kuweza kusikiliza mahojiano hayo na Edward Lowassa yatakujia hivi karibuni.
Mazungumzo kabla ya interview na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa akiperuz kwenye ipad yake.
Tukiwa na katibu wa Lowassa Bw.Tendewa.
Nikiwa na Mama Regina Lowassa.
Nikiwa na Raymond Maro. www.sundayshomari.com
IMG_3081
Khadija Riyami wa VOA akifanya mahojiano na Mh.Edward Lowassa hotelini kwake The Willard Washington Dc. Ambapo pamoja na mambo mengine katika mahojiano hayo alikanusha yale baadhi waliodai kuhamishia siasa zake kwenye nyumba za ibada. Kusikiliza matangazo hayo ya VOA bofya hapa chini. http://www.voaswahili.com/audio/Audio/177582.html

No comments: