Advertisements

Wednesday, August 28, 2013

MWENYEKITI WA NEW YORK TANZANIAN COMMUNITY AMTEMBELEA MAGANGA ONE NYUMBANI KWAKE

 Mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania jijini New York nchini Marekani ndugu Hajji Khamis Hajji alipomtembelea Maganga One Blogger hapo jana..Pichani kutoka kushoto ni Maganga One,Hajji Khamis Hajji na katibu wa kijiji bwana Mohamed kulia.
 Kipindi cha kiangazi watu wengi tunaoishi barani Ulaya hupendelea kukaa nje mpaka saa nne za usiku kutokana na kuchelewa kwa jua kuzama..pichani BBQ ikichukua nafasi yake hapo jana.

4 comments:

Anonymous said...

mnao lilia kwenda ulaya basi oneni ndo ulaya hiyo kazi kweli ipo vibaisikeli na nguo kwenye kamba au wapo hapa hapa bongo hawa uswahilini wanatuvunga wapo ulaya

Anonymous said...

Jamani hata kukata nyasi, au ndio mbuga za mjini NY.
Chakula kinapendeza kwenye mazingira masafi.

Anonymous said...

USA kuna neighbourhood. Hapo Lazima Harlem Newyork hapo .mambo ya zipcode

Anonymous said...

harlem mnapazarau wee hebu njo ujionee unadhani kama ulipo huko kukifika saa kumi na mbili kiza umajifungia ndani kama kuku wa kutagaa.
hii ndo NY bwana na usiwaone watu wajinga bwana hawana makuu nyumbani wana nyumba kibao hawa jamaa sio eti kukaa kwa kifahari ulaya halafu nyumbani zero.
njoo harlem ujione unadhani harlem kote ndo neighbourhood wacha ushamba wewe wa kufugwa huko porini katika miji midogo ukiishi NY NDO KIDUME KIPEVU NA MWENYE AKILI

chakula kizuri big up wadau hapo mliopiga picha wanakuoneeni wivu na nawajuu wabaya wenu mungu kishawaona wanaropoka ovyoo kama wala changaaa watu wana kula good time in NY wao wanazitamani hawazipati siku nyinginewe wakaribisheni na wao wale vinono utawaona kama wata sema neighourhood harlem au sijui kamba zina nguo au majani washamba utawaona tu kwa kuropoka ovyoo hawana kitu cha maana zaidi ya kusema sema watu