Keki ya birthday
Bwana Waluye na mke wake wakiingia ukumbuni, |
Bi Lidya kama anavyoonekana katika picha hii akishangaa baada ya kukuta watu wamejaa ukumbini wakimwimbia happy birthday happy birthday.
Marafiki wakiwa ukumbini wakati Bi Lidya anaingia na mume wake Bwana Waluye
Mambo yalikuwa bam bam kabisa ukumbini hapo.
Marafiki wakimwimbia Bi Lidya ukumbuni hapo
Bi Lidya Waluye akitoa shukrani kwa mume na marafiki waliojitokeza hapo ukumbini, kwa picha zaidi nenda soma zaidi.
Watoto wa Bi Lidya wakimshangaa mama yao
Ukodak wa pamoja ukumbini
1 comment:
Dj MPWA uyo ndo MAMA KUBWA NINI?SALUTE MKUBWA
MDAU DENVER
Post a Comment