MAZANI WA KIMATAIFA WA KUPIMIA MABONDIA AMBAPO UNA UWEZO WA KUPIMA UZITO,UREFU, NA KUTAMBUA UJAZO WA MAFUTA YAKO MWILINI YAPO KIASI GANI NA UNAITAJI UWE NA UZANI KIASI GANI KULINGANA NA UREFU WAKO
Mkurugenzi wa Sahel Traing Co.Ltd, Ally hazam kushoto akimkabidhi mzani wa kupimia uzito mabondia kwa Yassin Abdalla 'Ostadhi' mzani huo wenye thamani ya shilingi milioni moja na laki nane umetolewa na kampuni hiyo kutekeleza ahadi yao ya kusaidia mchezo wa masumbwi nchini
NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI ya Sahel Traing Co.Ltd kupitia kwa mkurugenzi wake Ally Hazam wametoa mzani wa kupimia mabondia kwa kiwango cha ali ya juu kwa ajili ya kuondoa ubabaishaji wa upimaji uzito kwa mabondia
akizungumza wakati wa kukabidhi mzani huo wenye thamani ya shilingi milioni moja na laki nane Hazam amesema wameamua kutoa mzani wakitegemea ngumi ndio mchezo pekee ambao unaweza kuretea sifa taifa kwa haraka sana
mchezo ambao unapendwa na watu wengi duniani sema hapa kwetu bado atuja usapoti sana na sisi tume onesha mfano ila tuta enderea kusapoti mchezo wa masumbwi nchini kari tuwezavyo
nae Yassini Abdalla 'Ostadhi' aliye pokea mzani huo ambao utakuwa ukitumika kwa mabondia kupima uzito ususani mapambano ya kimataifa ame shukulu kampuni hiyo kwa kutoa mzani na ni ahai ambayo walikuwa nayo mda mrefu rakini leo 'jana' ndio wameitekeleza
siku zote dunia nzima cha kwanza kabla mabondia awajapanda ulingoni kwanza wanapima uzito afya ndio mpambano una endelea bila uzani akuna ngumi mana mnaweza kupiganisha mabondia wenye uzani tofauti kitu ambacho akikubaliki dunia nzima
hivyo sina budi kuishukuru kampuni ya Sahel Trading Co. Ltd kwa kunipatia uzani huu
picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment