Waanzilishi wa Mambo Jambo kitengo cha Disco kilichoanzishwa mwaka 1999 na kutoa burudani sehemu mbalimbali zikiwemo kumbi za starehe za Songai, Safari Club na sehemu nyingine wakipata picha ya pamoja walipokutana Germantown, Mryland jana siku ya Jumamosi Jan 11, 2914. Kuotoka kushoto ni Phenuel Ligate, Julius Makiri na Dj Luke
2 comments:
mmezekaje!! lol
McKill loong tym
Post a Comment