Jeneza lililobeba mwili wa mpendwa wetu marehemu Ghazal Mohammed Omar aliyefariki kwa ajali ya gari North Carolina Dec 23, 2013 likipakiwa kwenye gari siku ya Jumapili Feb 2, 2014 kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kuwasili na Ethiopia Airline.
Gari lililobeba mwili wa mpendwa wetu Ghazal Mohammed Omar likijiandaa kuondoka kuelekea kwenye hospitali ya Agha Khan kwa ajili ya kuhifadhi mwili wa marehemu.
Mwili wa mpendwa wetu ukiwa njiani kuelekea Agha Khan
Binamu wa marehenu Yusuf Motte akisimika shahidi juu ya kaburi la mpendwa wetu Ghazal Mohammed Omar wakati wa maziko yaliyofanyika leo Juamatatu Feb 3, 2914 baada ya sala ya Adhuhuri katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiangalia kaburi la mpendwa wetu Ghazal Mohammed Omar yaliyofanyika leo Jumatatu Feb 3, 2014 baada ya sala ya adhuhuri katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
Juu na chini ni Ndugu, jamaa na marafiki wakiendelea na mazishi ya mpendwa wetu Ghazal Mohammed Omar yaliyofanyika leo Jumatatu Feb 3, 2014 baada ya sala ya adhuhuri katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiendelea na mazishi ya mpendwa wetu Ghazal Mohammed Omar yaliyofanyika leo Jumatatu Feb 3, 2014 baada ya sala ya adhuhuri katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
kushoto ni Salim Omar mdogo wa marehemu wakiwa pamoja na Kamugisha (wapili toka kushoto) msindikizaji wa mwili wa marehemu toka North Carolina nchini Marekani
1 comment:
NImesikitishwa sana kusoma habari ya msiba huu kwa kupitia Vijimambo leo. Sikuwa nikimfahamu marehemu lakini vitu viwili vimeniunganisha na yeye, kwanza ni mtanzania mwenzangu na pili ni mwanabaharia mwenzangu huku marekani. Pole sana kwa familia, ndugu na jamaa wote!
Post a Comment