OMMY DIMPOZ POZ KWA POZ ATATUA KWA MARA YA KWANZA KATIKA JIJI LA WAJANJA KUFANYA SHOW HATARI. MA-DJ HATARI DJ TOM & BURT NDIO WATAKAO RUSHA ROHO KWA NYIMBO ZILIZOENDA SHULE NA VIFAA YA KISASA. NYAKUA TIKETI MAPEMA. PIGA SIMU HAPA 510.520.5995 | 517.918.3920
4 comments:
Nyie jiji la wajaja nani kawabatiza hilo jina. Bwana Peter Ligate rudi DC naona unazidi kupendelea huko West.
Kuna gemu inaendelea sasa hivi kati ya OKC na Wizard. Mbona Hasheem hachezi????????
kaka tumeshasoma hili tangazo vya kutosha na tunaipenda hii blogu basi tuachine tuone na vingine sio kutuletea hili tangazo kila mara. Au wachaji kutangaza watapunguza kukusumbua kulipost.
Jiji la wajanja kweli u better ask somebody!!!!
Post a Comment