ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 1, 2014

OMMY DIMPOZ KUTUA KATIKA JIJI LA WAJANJA OAKLAND - CALIFORNIA WIKI IJAYO TAYARI KWA MAKAMUZI YA NGUVU

OMMY DIMPOZ POZ KWA POZ ATATUA KWA MARA YA KWANZA KATIKA JIJI LA WAJANJA KUFANYA SHOW HATARI. MA-DJ HATARI DJ TOM & BURT NDIO WATAKAO RUSHA ROHO KWA NYIMBO ZILIZOENDA SHULE NA VIFAA YA KISASA. NYAKUA TIKETI MAPEMA. PIGA SIMU HAPA 510.520.5995 | 517.918.3920

4 comments:

Anonymous said...

Nyie jiji la wajaja nani kawabatiza hilo jina. Bwana Peter Ligate rudi DC naona unazidi kupendelea huko West.

Anonymous said...

Kuna gemu inaendelea sasa hivi kati ya OKC na Wizard. Mbona Hasheem hachezi????????

Anonymous said...

kaka tumeshasoma hili tangazo vya kutosha na tunaipenda hii blogu basi tuachine tuone na vingine sio kutuletea hili tangazo kila mara. Au wachaji kutangaza watapunguza kukusumbua kulipost.

Anonymous said...

Jiji la wajanja kweli u better ask somebody!!!!