Wimbo huu ulibamba sana katika hanga za majumba ya usiku na radio station mbali mbali duniani kote
Vybz ni mwanamuziki wa Reggae kutoka Jamaica Vybz jela maisha, Vybz ameangukiwa na jumba bovu hilo maisha kutoka na kesi ya kuua iliyo kuwa inamkabiri ya mwaka 2011 huko kwao Jamaica. Vybz inasemakana alimua mtu mmoja aliejulikana kwa jina la Clive "Lizard"William. Inasemekana kuwa Vybz mwenye jina halisi la Adidja Palmer alifanya kitendo hicho cha mauaji jumbani kwa marehemu huko Kingstone, Jamaica siku ya 16 Augost 2011. Vybz katika kasi hiyo alikuwa na wenzie wa 5 lakini wao waliishia kupewa mvua za maana na mmoja kati yao akiachiwa huru.
1 comment:
kaka kama shetani
Post a Comment