ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 18, 2014

DIAMOND NA OMMY NDANI YA BONGOUK/CLUB MALIBU UK MAMBO YALIKUWA HIVI

Hapa ni bump to bump Ommy Dimples akisugua gaga ni Jastina George live on stage katika show iliyofanyika usiku wa tarehe 17. Ommy pamoja na Diamond walikinukisha live bila chenga.
Hapa ni Flora Lyimo nae alijiweka kwa Diamond live on stage kiroho safi 
Ommy Dimples akiwapagawisha wabongo wa UK
Diamond ndani ya style yake ya V skirts akiimba kwa hisia mbele ya wa bongo wa UK,

1 comment:

Anonymous said...

mavazi ghani aliyo vaa diamond au anataka kuruka mbinguni au ndo enzi za kiromaa na ki freemanson hebu muangaliyeni muangalio wake anavalishwa tu kungo na madesigner wake wasio mtakia kheri na utamaduni wa kitanzania