ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 17, 2014

video Queen huyo, ambae alikuwa anaitwa Doreen, sasa ni teja anaepatikana maeneo ya Sinza



Aliekuwa video Queen wa wimbo wa Noorah "Ice Cream" akimshirikisha Suma Lee uliosumbua station za tv kibao Tanzania takriban miaka 6 iliyopita, sasa ni muathirika mkubwa wa madawa ya kulevya
video Queen huyo, ambae alikuwa anaitwa Doreen, sasa ni teja anaepatikana maeneo ya Sinza Makaburini, Inasemekana ana hali mbaya sana hasa tumbo likiwa limemvimba sana mithili ya mwanamke mwenye mimba huku miguu yake ikiwa imemvimba na hali yake kuwa dhoofu sana.
Hata kwa kumuona tu na kutoa msaada haraka itakua vyema maana miguu yake imevimba sana na tumbo lake likiwa kubwa huku akiwa ujauzito wowote, this is very sad indeed kwa Doreen . Kwa yoyote anayeweza kumsaidia mrembo huyu ni vyema kufanya hivyo sababu anahitaji maombi.
Credit:Teentz

No comments: