Muda mfupi katika ukurasa wa Facebook ya msanii Witnesz ameonekana amepost kitu kizuri kwa jamii au kwa mashabiki wake ambacho kinaweza kuwa kizuri ukikifuatilia kwa uzuri kabisa. Hebu msome hapa chini nadhani atakuwa amekuongezea madini fulani.
Credit:Teentz
No comments:
Post a Comment