MTANZANIA ADAM NDITI AONGOZA CHELSEA KUTWAA UBINGWA LIGIKUU UINGEREZA JANA USIKU UNDER 21,WAKIIBAMIZA MAN UNITED
Kikosi cha Chelsea Under 21,Adam Nditi akiwemo wa tatu Kutoka Kushoto waliosimama.Mtanzania Adam Nditi akipambana na Mchezaji wa Man UnitedWakishangilia Ubingwa baada ya Kuibamiza Man United bao 2 kwa 1 Mechi iliyochezwa Old Trafford.
No comments:
Post a Comment