Sisi Mr & Mrs. Ubao tunamuunga mkono Iddi Sandaly kwenye Urais wa DMV.
Namkumbuka Kaka Iddi Kila ukimuuona Kijana Husema Vipi Kaka/Dada, Akimuona mzee Vipi Muheshimiwa.
Anaheshimu kila mtu.
Ni kiongozi mathubuti.
Mpenda watu
Anathamini DMV
2 comments:
mmependeza wenyeewe mashallah na mama ubao unamunga mkono iddy aahhh?
aj ubao vua bwana mawani watu wakuone
Post a Comment