Thursday, January 1, 2015

DMV ALL STARS NA STREET INTELLIGENTS WAWAKUNA WANADMV

Ibra mmoja kutoka kundi la DMV all Stars akifanya vitu vyake wakati kundi lao walipovamia jukwaa kwa kuimba mtu mmoja mmoja
 Ibra akiimba kwa hisia kali
Mr Tz akiwa jukwaani
Mr. Tz akiwakosha mashabiki zake.

Mashabiki wakimtunza Mr. Tz wakati alipowakuna kwa wimbo wake wakati sherehe ya kuukaribisha mwaka ikiendelea DMV.
Kijana Domi akiimba kwa hisia kali
 Domi akiendelea kulishambulia jukwaa.
 AJ ubao akiwapagawisha wana DMV.
DMV all Stars wakilishambulia jukwaa
 Kundi la Street Intelligents likifanya vitu vyake.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 D stranger akionyesha kipaji chake.
 Prince akifokafoka.
 Hussein akiondoka kwa mtindo wa kufokafoka.

No comments: