Thursday, January 1, 2015

WAJUE MAMIXOLOGISTS AU UKIPENDA DRINK MASTERS WANAO TAMBA DMV

 Evans Shangarai ambaye ndio anayejinyakulia kwa sasa hivi shughuli zote za mambo ya uuzaji kanywaji kwenye shughuli zote zinazoandaliwa na Watanzania DMV. katika picha Evans akimuhudumia Mashaka Bilali siku ya Jumatano Desemba 31, 2014 siku ya mkesha wa mwaka mpya ulioandaliwa na Jumuiya ya Watanzania DMV.
Didi Vava akiongea na Majid Zuberi baada ya kumhudumia siku ya Jumatano Desemba 31, 2014 siku ya mkesha wa mwaka mpya ulioandaliwa na Jumuiya ya Watanzania DMV.

No comments: