IKIWA zimesalia siku chache kufanyika mpambano wa kusisimua wa mchezo wa masumbwi Duniani kati ya bondia Floyd Mayweather na Manny Paquaio mei 2 mwaka uhu mpambano uho uliovunja rekodi ya mapato mbalimbali ya ngumi zilizofanyika kwa kipindi hichi
kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amekwisha toa Collection DVD za mapambano ya wakali hawo yaliyopita nyuma dvd hizo zenye mafunzo mbalimbali pamoja na mazoezi wakati wakijiandaa kupigana mpambano wao
ambao utafanyika mei 2 Super D alisema nimetoa video zao ili watu wazione pamoja na kumbukumbu zao za nyuma ambapo kila DVD moja ina mapambano manne ya bondia mmoja
ukiwa kama mpenzi au shabiki wa bondia mmojawapo unaweza kujifunza mambo mengi kupitia video hizo
DVD hizo kwa sasa zinapatikana katika makutano ya barabara ya uhuru na msimbazi Dar es salaam kituo kikuu cha mawakala wa magazeti mbalimbal;i masaa 24 zaidi unaweza kuwasiliana moja kwa moja na kocha Super D kwa namba za simu 0787406938 AU 0754406938 au kufika Super D Boxing Club iliyopo ndandi ya shule ya msingi Uhuru wasichana
No comments:
Post a Comment