ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 26, 2015

PSPF YATOA ELIMU KATIKA WIKI YA MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA

Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF Bw. Abdul Njaidi (kulia) juu ya shughuli mbalimbali za PSPF, wengine ni Katibu Mkuu Ofisiya Rais (Utumishi) Bw. Habib Mkwizu (kushoto) na Bw. Joseph Lyimo, ambaye ni Afisa wa PSPF. Mhe. Sefue alitembelea banda la PSPF katika maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mhe. Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa ofisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF Bw. Abdul Njaidi juu ya shughuli mbalimbali za PSPF, kulia ni Michael Tarimo, Ofisa wa PSPF.
Bw. Max Mbise akitoa maelezo juu yas hughuli mbalimbali za PSPF kwa wateja waliotembelea banda la PSPF katika maonesho hayo.
Bw. Abdul Njaidi akitoa maelezo kwa mmoja wa wanachama wa PSPF waliotembelea banda la PSPF katika maonesho hayo.
Bw. Abdul Njaidi akitoa maelezo kwa wanachama wa PSPF waliotembelea banda la PSPF katika maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyo malizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

No comments: