ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 11, 2015

ASHA AFUTARISHA NYUMBANI KWAKE GERMANTOWN, MARYLAND

Wageni mbalimbali waliojitokeza katika futari ya pamoja siku ya Ijumaa July 10, 2015 Germantown, Maryland nyumbani kwa Asha Hariz nyumba anayoishi na Daudi Boma. Picha kwa hisani ya sheikh Omar
Asha Hariz akipata picha na ndiye aliyekua mwenyeji wa wageni wake katika futari ya pamoja.
 Ally Mikidadi akipata picha ya upendeleo.
Kutoka kushoto ni Shamis, Daudi Boma na Asha Hariz
Kutoka kushoto ni Raymond, Dedi Luba na Hassan.
Kassim akiwa katika picha ya upendeleo.

No comments: