Sunday, January 10, 2016

SPECIAL OFFER KWA SIKUKUU YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA TUMA PIPA TANZANIA KWA BEI NAFUU

Habari njema kwa wakazi Marekani Kilimanjaro Studio kwa kushirikiana na All Africka Travel and Logistics,llc inakuletea offer maalum kwa ajili ya sikuu ya Christmas na mwaka mpya. TUMA PIPA TANZANIA KWA BEI YA DOLA 180 BADALA YA DOLA 250 piga simu 301 335 6383

na wewe utakua umejishindia offer hiyo kama upo nje ya DMV inakubidi usafirishe PIPA lako(kama linavyoonekana hapo juu)  kwa gharama zako mwenyewe mpaka kwenye kituo husika na kuanzia pale PIPA lako litasafirishwa kwa bei ya Dola 180 badala ya Dola 250 au walio nje ya DMV piga simu 240 552 4870 na utapewa jinsi gani ya kuusafirisha mzigo wako kwa bei nafuu hadi DMV.

KUMBUKA Mapipa yatakayosafirishwa ni ya vitu vingine vyote isipokua VIPODOZI. OFFER HII MWISHO NI JANUARY 13, 2016

17 comments:

Anonymous said...

Hiyo poa tutawafuta hivi karibuni nina .mzigo wangu.

Anonymous said...

$180 inakuwa pamoja na ushuru Tanzania au?

VIJIMAMBO said...

ndio mtoa maoni wa pili

Anonymous said...

Pipa la hivi linapatikana wapi?

VIJIMAMBO said...

Pipa zinapatikana Langley Park, MD au kama unaishi DMV piga simu kati ya hizo kwenye tangazo utaletewa Pipa nyumbani kwa $45 Asante

Anonymous said...

Je kuna limit ya uzito wa vitu au ni kwamba mzigo ukitosha ndani ya pipa unasafirishwa regardless ya uzito?


Je toka fagio la Magufuli limepita bandarini mshawahi kutoa mzigo? Samahani kwa swali hili ni kutaka kujua kama tutahitajika kuongeza hela hapo baadae.

Unknown said...

Limit ya uzito kwa pipa ni less than 150lbs kutokana na hili tangazo. Kumbuka, hii bei imetoka na kudhaminiwa na Kilimanjaro Studio ikishirikiana na AllAfrika Travel & Logistics, wakala wa kusafirisha.

Kwa maelezo zaidi, wapigie.

Anonymous said...

swali jamani kwa anaejua huku UK wanaosafirisha kama hivyo pipa, naomba mtuwekee number yao tafadhali, natanguliza shukrani

Anonymous said...

Namba ni 301 335 6383 utapata muhusika.

Anonymous said...

Swali. ..hawa ndio waliokua na tatizo mwaka jana vitu vikachukua miezi zaidi ya 6 kwa waliotumiwa Tanzania kuvipata. Na vyangu vilikuwepo.

Anonymous said...

Anon Dec 26 at 1.50pm hili ni swali au comment. Kama mzigo wako ulikuwepo unashindwaje kujua company gani ulitumia? Anyways Tusubiri wenyewe wajibu.

Anonymous said...

Je naweza kusafirsha TV, ambayo haitoshi kwenye pipa?

Anonymous said...

watanzania achene usanii pigeni no si hio mmepewa kha!kuandika comment inatake muda kuliko kupiga simu.

Allafrika Travel & Logistics said...

Anonymous Dec 28th @2:39am. => The prices for TV are different. I too don't think TV will go inside the barrel anyway. Call us for prices if you wish to ship or air cargo one.

Additional info:
Our records stands, we average about 6 weeks to get goods to Tanzania from Germantown, Maryland if we ship. By air, just less than 7 days to arrive in Tanzania.


Anonymous said...

Asante AllAfrika kwanza TV haitakiwi kulazwa. Tunaomba utuandalie tena trip nyingine kama hii kipindi. Asante.

Anonymous said...

This price is very reasonable. Whenever you have promotions like this, advertising in this blog please. Thank you.

Anonymous said...

Jamani mtuongezee tena mda wa kulipa dola 180 mtufanyie mpaka mwezi wa pili mwishoni.