-Marehemu Bikidude Binti Baraka katika Uhai wake akiimba katika sehemu mbalimbali ambazo alipata mualiko.hii ni sehemu ya Filamu ya maisha ya Bikidude namba mbili ilionyeshwa katika holi la Rumaisa Bwawani Mjini Zanzibar.
Marehemu Bikidude Binti Baraka katika Uhai wake akiimba katika sehemu mbalimbali ambazo alipata mualiko.hii ni sehemu ya Filamu ya maisha ya Bikidude namba mbili ilionyeshwa katika holi la Rumaisa Bwawani Mjini Zanzibar.
Marehemu Bikidude binti Baraka akiwa katika picha ya pamoja na Mtayarishaji wa Filamu ya Bikidude namba mbili ilioonyeshwa katika Ukumbi wa Rumaisa Bwawani Mjini Zanzibar.
Meneja wa Baraza la Habari Tanzania (MCT)Suleiman Seif akiuliza maswali kwa mtayarishaji wa Filamu ya Bikidude namba mbili Andy Jones ilioonyeshwa katika Ukumbi wa Rumaisa Bwawani Mjini Zanzibar.
Mtayarishaji wa Filamu ya Bikidude namba mbili Andy Jones (kulia)akijibu maswali kwa waandishi wa Habari waliofika katika kuiangalia Filamu hio ilioonyeshwa katika Ukumbi wa Rumaisa Bwawani Mjini Zanzibar.mwengine ni mmiliki wa Ukumbi wa Rumaisa Mohd Bajbeir.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment