ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 17, 2016

MISA YA KUMBUKUMBU DMV

Familia ya Bi.Geraldine Ngowi na Ms.Grace Mlingi wa Silver Spring, MD.wanapenda kuwatangazia kutakuwepo na Misa takatifu ya kumkumbuka kaka mpendwa wa Geraldine ndugu Edgar Ngowi aliyefariki Dunia ghafla tarehe ya 24 March 2016 huko nyumbani Kwao Moshi, Kilimanjaro.
Misa itafanyika jumapili tarehe 17 April 2016 saa saba na nusu mchana (1.30pm)
St. Edward Catholic Church
901 Poplar Grove st.

Baltimore, MD 21216
Kutakuwepo na reception baada ya Misa kwa maelezo zaidi,tafadhali wasiliana na
Ms.Grace Mlingi tel.no.240 360 6670
Mrs.Justa Mutalemwa tel.no.301 404 6529
Mrs.Frida Cryor tel.no.202 368 7149
"RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE "NA apumzike kwa amani.
WOTE MNAKARIBISHWA tafadhali tuzingatie muda.

No comments: