Mapadri wakiongoza misa Jumuiya ya Kiswahili ya kanisa Katoliki DMV ya pamoja kati ya WaKenya na WaTanzania iliyofanyika Baltimore Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na wanajumuiya wa katoliki wa DMV wa pande zote.
Wanajumuiya wakatoliki DMV WaKenya na WaTanzania wakijumuika katika misa ya pamoja iiyofanyika Baltimore, Maryland.
Misa ya Kiswahili ya Jumuiya ya katoliki DMV ya WaKenya na WaTanzania ikiendelea.
No comments:
Post a Comment