Moja ya mitaa ya Durham, North Carolina leo Jumatatu Jan 9, 2017 ni siku ya pili barabara bado haziko salama theluji iliyoanguka imekua barafu kutokana na kuambatana na baridi kali, shule bado zimefungwa na sehemu nyingine za kazi kumekuwa na kufunguliwa ofisi kwa kuchelewa.
Ajali iliyotokea I-91 Connecticut kwa theluji iliyoanguka.
Hii ni I-91 magari yakiwa yamegongana
Moja ya mitaa ya Clayton, North Carolina.
No comments:
Post a Comment