ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 9, 2017

Misa ya kiswahili Jumapili ijayo, tarehe 15 January 2017, saa Nane Mchana Inbox x

Image result for 120 East 106 Street, New York, NY 10029.
Wakristu wapendwa,

Tumsifu Yesu Kristu.

Kheri ya mwaka mpya.

Padre Peter Mushi na Padre Godfrey Amobi, wanapenda kuwatangazia ya kuwa,

Misa yetu ya kiswahili itafanyika Jumapili ijayo, tarehe 15 Mwezi January, 2017 Saa 8:00 mchana (Sunday 15 January 2017 at 2 pm).

Tunawakaribisha wakristu wote wanaopenda kuhudhuria ibada ya Kiswahili, wajiunge nasi katika Misa hii.

Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia, 120 East 106 Street, New York, NY 10029. Between Lexington and Park Avenue.

Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.

Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi. Karibuni tumtukuze Muumba Wetu kwa lugha yetu ya Kiswahili.

Mbarikiwe. 

Kutoka kwa Padre Peter Mushi na Padre Godfrey Amobi

No comments: