Advertisements

Wednesday, April 19, 2017

NYEPESI NYEPESI INASEMEKANA KUWA UZI WA YANGA FC 2017/2018 HUU HAPA KIMATAIFA ZAIDIImekuwa kawaida kwa vilabu mbalimbali barani Ulaya kuwa na utamaduni wa kutengeneza jezi mpya zenye ubunifu tofauti tofauti kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi za kwao na mashindano mbalimbali yatakayokuwa katika msimu husika.
Naambiwa hizi zitakuwa jezi za nyumbani

Kwa taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii imeonesha jezi zinazotajwa kuwa ndio jezi mpya zitakazotumiwa na Yanga msimu wa 2017/2018, jezi hizo bado hazijathibitishwa wala kutambulishwa rasmi na uongozi wa Yanga lakini kuna tetesi kuwa ndio zitatumiwa msimu wa 2017/2018.
Hizi zitakuwa jezi za tatu
Naambiwa hizi zitakuwa jezi za ugenini

No comments: